Willy Paul – Kwa Vile Lyrics

Willy Paul – Kwa Vile Lyrics

Read and enjoy Willy Paul – Kwa Vile here.

Willy Paul – Kwa Vile

 

Willy Paul – Kwa Vile Lyrics

Kwa Vile Lyrics

Eh, Willy Paul, Willy Paul,

Saint Pizzy Baby,

Kwa Vile Umenipenda Mola, Wo Wo Wo,

Kwa Vile Umenitunza Papa, Woooo,

Kwa Vile Umenipenda, Kwa Vile Umenitunza,

Kwa Vile Umenipenda, Ah, Ah, Ah,

 

Nakamilisha Zangu Ndoto, Nitacheza Kidogo,

Ibilisi Analeta Mdomo, Namwonyesha Kisogo,

Ananena Willy No, Mie Nanena Willy Yes Oh,

Ananena Willy No, Mie Nanena Willy Yes Oh,

Lord, Lord, Lord, Lord, Lord, You’re Always On My Mind,

Always On My Mind,

Nitacheza Kidogo, Nitaruka ruka Kidogo,

Nitacheza Kidogo, Niserebuka Kidogo, Ah,

 

Cheza Sari Sari,

Cheza Furi Furi,

Cheza Tu Hivi, Tu Hivi,

Msela Cheza Ni Kiduku,

Cheza Ni Kiduku,

Cheza Ni Kiduku,

Cheza Ni Kiduku,

Kwa Jalali Ni Kiduku,

Serebuka, Aserebuka, Aserebuka, Serebuka, Serebuka,

Serebuk, Aserebuka, Aserebuka, Serebuka, Serebuka, Ah, Ah, Ah,

Aserebuka, Aserebuka, Asere, Serebuka

 

Wapi Wameo Onja Upendo Wake Ruka Kidogo,

Kama Umeonja Upako Wako Ruka Kidogo,

Pause… Leggo,

Wamama Ndombolo Ah Eh,

Watoto Ndombolo, Ah Eh,

Mwenyezi Ndombolo Ah Eh,

Tucheze Ndombolo Ah Eh,

Wamama Ndombolo Ah Eh,

Mwenyezi Ndombolo Ah Eh

You cannot copy content of this page