B2k – Sio Sawa Lyrics

B2k – Sio Sawa Lyrics

Read and enjoy B2k – Sio Sawa Lyrics here.

B2k – Sio Sawa

 

B2k – Sio Sawa Lyrics

Sio Sawa Lyrics

Hivi ulikwa wewe

Asa mbona uko mwanza ilinidekeza

Umekwa mwewe

Umeota izo mbawa umeteleza

Ok njanja wewe

Umenivuta umenibana umenikoleza

Nikwaza wewe

Aah kumbe umepanga kumitelekeza mie

Ulioneka una hasina na gadhabu

Hatatuja gombana ningebanyaje

Na kumbe unanitafutia sababu

Ya hunikana unimwage

Nitaonekana kama mtoto

Nikisema nilipize madharau

Zingine ni changamoto

Muda ukipita unasaham

 

Sio sawa

Sio sawa

Sio sawa

Sio sawa

 

Nikisema ntaki kukupenda mwenzako nshanichota sielewi

Yaani nioe mapema nionyesha mimesalenda wengine hawachelewi

Yaani nikuacha kiroho safi mapenzi mihadarati

Nitakuonea unakokwenda ikiwa safi

Ulionekana una hasira na gadhabu

Hatuja gombana ningefanyaje

Na kulbe unanitafutia sababu

Ya kunikana unimwage

Nitaonekana kama mtoto

Nikisema nilipize madharan

Zingine ni changamoto

Muda ukipita unasaham

 

Sio sawa

Sio sawa

Sio sawa

Sio sawa

Sio sawa

Sio sawa

Sio sawa

Sio sawa

You cannot copy content of this page